Habari. Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa unlock code kwani nimechoshwa na kuunga bando ktk lain ya tigo maana ni gharama sana!
Naambatanisha na emai ya simu.

zinaunlockicka remotely bila shida kwa zinazoomba code tunakupa codes na zinazohitaji kuunlock kwa usb unapaswa uwe na pc na chanzo cha mtandao na software inayoitwa team viewer ther rest tunakumalizia wenyewe remotely