Msaada T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by arnolds, Aug 10, 2012.

 1. arnolds

  arnolds Senior Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Amani kwenu wadau!..natumai wote ni wazima na mnaendelea vyema na majukumu!
  nahitaji msaada kwa yoyote anayefahamu zaidi juu ya T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business anipe
  shule na experience kdogo namna ya kufanikiwa ktk hii biashara.
  kama unafahamu equipment / vifaa muhimu vinavyohitajika ni vizuri zaidi ukinifahamisha, au kama unasupply hvyo vifaa
  pls just PM me tuongee biashara..

  ahsanteni.
   
Loading...