Msaada : Swali la umetoa wapi namba yangu?

Udomo zege kama ulivyouita ni tatizo la kutojiamini au kukubali kushindwa jambo kabla hata hujalijaribu. Na pia wakati unamtongoza mwanamke jiwekee ndiyo au hapana yote ni majibu, usifurahi sana kuambiwa ndiyo na wala usisononeke kabisa kuambiwa hapana.

Umetoa wapi number yangu, hilo ni swali ambalo unaweza ukaulizwa na yoyote kwa sababu za kujua ni nani. Jaribu kuwa na taarifa kamili za huyo mwanamke ili unapoulizwa swali kama hili ujue utatunga uwongo upi ambao utaendana na ukweli.
 
Kuna prof kilaza humu mwalimu wa madomozege em jaribu kuwasiliana nae atakusaidia
 

Nilishaga wahi kufanya hiyo njia na nikafanikiwa aisee,niliuliziwa kuwa nimepata wapi namba yake kwa kuwa niliambiwa jinsi alivyo na mazingira. Dah nilimugegeta kiulaini sana na hapa nilipo nipo nae.TUMIA HII NJIA MKUU.
 
Kila Siku Asubuhi MTU mie vocha za 3000, kama wiki mbili hivi
Ata jaa tunduni
 
Usingesema umri wako ningekuuliza, kwa maana kiswahili ulichokiandika kinaonesha akili yako ina safari ndefu sana ili ikue ( Gashi, manzi, vidochi ).
 
tafuta kazi uwe na hela wala utopata tabu ya kuulizwa lizwa maswali ya kijinga kama hayo...wewe unatuma tu Tigo Pesa ya laki alafu uone kama atakuuliza umepata wapi namba yake
 
Usingesema umri wako ningekuuliza, kwa maana kiswahili ulichokiandika kinaonesha akili yako ina safari ndefu sana ili ikue ( Gashi, manzi, vidochi ).

Kwakwel, na ww mwenyewe unaonekana ni mzee...
 
Search Google "umetoa wapi namba yangu"watakupa maelezo yote jinc ya kujibu
 
Subiri kuna siku huwa wanapitisha majibu kutoka posta.
 

umemaliza mkuu, jamaa akishindwa yote haya basi akamwone dakitari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…