Kumbe ulisoma pure math.swali la kitoto kabisa .....nilifikiria utaleta yale magraph ya Maua ya kwenye cord 2
Ngoja nitulie niweke solution hapa kijana!!Find cos ¤,tan¤ and sin¤ if ¤ is the angle made by the positive x-axis and the line from the origin to the point (4,-2√2)
swali la kitoto kabisa .....nilifikiria utaleta yale magraph ya Maua ya kwenye cord 2
Mkuu Trig Hio ni ya kitoto sana ebu tulia usolve mimi ideas zimepotea ,mpaka nitulie ila moja ya topic niliyoiburuza trig imo
Kama hata hili limekushinda Acha shule tu mkuu, kalime unapoteza muda
Iv jaman wana jf mnaleta shida sana,,yaan mnapost ad hesab,,,mi apo naona kama midoli midoli tu..
Nyie ndio wale watu mnao ongea sana wakati vitendo sifuri!! Kama walivyo wanasiasa wa chama cha kijani!! Weka jibu acha maneno mengi!Kumbe ulisoma pure math.
Mi naona idea ndogo sana inatumika hapo japo nlisoma BAM.
We jamaa mtu wa ajabu kabisa yaani nikajua leo swali linakuja sasa kumbe kakijiswaliFind cos ¤,tan¤ and sin¤ if ¤ is the angle made by the positive x-axis and the line from the origin to the point (4,-2√2)
Mkuu namsaidia dogo tu nyumban hapa,mimi sio mwanafunzi na sikusoma hii kituKama hata hili limekushinda Acha shule tu mkuu, kalime unapoteza muda
yeah nilipata A ya pureKumbe ulisoma pure math.
Mi naona idea ndogo sana inatumika hapo japo nlisoma BAM.
Umenikumbusha mbali sana dah..swali la kitoto kabisa .....nilifikiria utaleta yale magraph ya Maua ya kwenye cord 2
Hii itakua ni BRN!! Defend your A...acha maneno mengiyeah nilipata A ya pure
Vere gudi.Hii itakua ni BRN!! Defend your A...acha maneno mengi
Subir nikushukie madude kijana wangu sikubahatisha degree ya mathematicsFind cos ¤,tan¤ and sin¤ if ¤ is the angle made by the positive x-axis and the line from the origin to the point (4,-2√2)