Sikuwa napenda kuandika andika 😂Mie Hesabu sikuwa na shida nayo...
Ila huo mwandiko dah...!!
Tungesoma wote wallah ningeomba uniandikie notes mara moja moja..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwahiyo umeutunza mwandiko wako enheSikuwa napenda kuandika andika
Mmmmmmmmm, hizo K zako zinapendeza
Nilirekebisha ni P. The imaginary constant ni PX imepotelea wapi sasa hapo?
1)Alikula 1/4 ya totalAlpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.
Cc Mwifwa
Kilo 144
Swali halijajikamilisha, hiyo 1/3 kwa mguu ni ya safari yote au hadi hapo ulipoishia kwa baiskeli?Nilisafiiri 1/3 ya safari kwa miguu,kisha nikasafiri 3/4 kwa baiskeli.ikiwa zilibaki km 2.je safari ilikuwa ya umbali gani
Alpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.
Jumla ya mchele no Akg
Amekula 1/4 ambao ni 1/4*Akg
Uliobaki baada ya kula ni Akg - 1/4*Akg
Trick ya swali hili: kg60 ilibaki baada ya kula 1/4 au baada ya kuuza 1/3?
Kama kg60 ndo ilibaki baada ya kula 1/4 then
Akg - 1/4*Akg = 60
A=80kg ndo uzito wa mchele alokua nao.
Kama kg60 ni mchele ulobaki baada ya kuuza 1/3 then kilichobaki ni 2/3
So kg60 = 2/3
Mchele uliobaki kabla ya kuuza ni 60*3/2 = 90kg lkn pia ndo mchele uliobaki baada ya kula
Kala 1/4 kwahiyo kilichobaki ni 3/4 ambayo ni kg90
Jumla ya mchele wote ni 90*4/3 = 120kg
Tena sio ngumu tu NI NGUMU SANA!!kWELI HESABU NI NGUMU, JIBU NI 144
AMEKULA 1/4 NA AMEUZA 1/3, JUMLA YA KUUZA NA KULA 7/12 ili upate kitu jumla ni 1, yaani 7/12+5/12=1(JUMLA) , baki ni 5/12 ya kitu chote, sasa sema 5/12=60, Je 1=?, cross multiplication, unapata 144
Nilisafiiri 1/3 ya safari kwa miguu,kisha nikasafiri 3/4 kwa baiskeli.ikiwa zilibaki km 2.je safari ilikuwa ya umbali gani
Hiyo 1/4 alikula kibakiza na kiporo au?Alpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.
Cc Mwifwa