Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
ππππpale la 4C nilizungusha duara nikashindwa kwenda la 5,ikabidi niache shule kabisa sasa kale kale knowledge nimejaribu kuaapply hapa naona kama jamaa hakuwa na mchele kabisaπππππ
We kweli madenge.Anyway ushawahi kufanya swali ukicheki raia majibu yanaendana ila wewe ndo kwanza jibu lako hata robo halifanani hadi unaanza kuhakikisha kama swali ulofanya ndo lenyewe
aya sawa mkuu ila mi mpaka leo sijaona msaada wa hizo mahesabu huku kitaa.ππππpale la 4C nilizungusha duara nikashindwa kwenda la 5,ikabidi niache shule kabisa sasa kale kale knowledge nimejaribu kuaapply hapa naona kama jamaa hakuwa na mchele kabisa
Dada una mwandiko mzuri sana, alafu unaonekana una akili sana, alafu una bachelor ya maswala ya sayansi, hongera zako
Hahahaaa, kwani umeelewaje etiKwenye bachelor ya masuala ya science hapo π€
Hahahaaa, kwani umeelewaje eti
Kama vipi,Hahahahh nimeelewa kama hivyo
Wewe umesomea sayansi bila shaka cause sio rahisi kukuta mdada anakua na ujasiri wa kuweka mishale kama hivyoHahahahh nimeelewa kama hivyo
Wewe umesomea sayansi bila shaka cause sio rahisi kukuta mdada anakua na ujasiri wa kuweka mishale kama hivyo
HahahahaaaaaaHilo swali lilikuwa rahisi,ni la kufikirika tu mtu yoyote akiamua anaweza kufanya
Mmmmmmm, sijawai feli hesabu mpaka namaliza chuo kikuu,Hesabu za shule mlikuwa mnafeli hii ya mchele mnajiona wajanja sana...kilaza atabaki kuwa kilaza
Sent using Samsung s10
Ila olevel nilipata B ya hesabu nililia sanaa sitosahauHesabu za shule mlikuwa mnafeli hii ya mchele mnajiona wajanja sana...kilaza atabaki kuwa kilaza
Sent using Samsung s10
Alikua na kilo 120Alpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.
Cc Mwifwa
Let P be mchele
P - 1/4X = 3/4P
1/3 x 3/4P = 3/12P
3/4P - 3/12P = 60
6/12P = 60
P = 60x2
P = 120
Alikuwa na kilo 120
Mie nimeona mwandiko mzuri tu..Hayo mambo yenu ya kusolve nimeachana nayo
Mie nimeona mwandiko mzuri tu..Hayo mambo yenu ya kusolve nimeachana nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie Hesabu sikuwa na shida nayo...Hahahahh kwa hiyo hutaki kujua hesabu ilivyokwenda
Kusema ukweli, huu mwandiko naujua. Ahsante kwa majibu