Msaada surface window rt

Msaada surface window rt

kinabhi

Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
18
Reaction score
8
Habari wakuu!

Ninapotaka kuingiza progam yeyote inanitaka niende Katika store nitafute na kuinstall kutoka huko.
Je! Kuna namna ya kufanya ili niinstlall bila kupitia market store?

Asante
 
Back
Top Bottom