Msaada sumsung galaxy s4 clone

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
113
wanajamvi, naombeni mnisaidie kuna sumsung galaxy s4 clone, nili ereboot, afu baada ya hapo haiwaki kama mwanzo ,inawaka inaandika citrl afu haipandishi network. Msaada nifanyaje
 
Because it is clone pa kukimbilia huna.. Bora hata ungenunua Tecno wana Warrant
 
hahaha tecno na clone zote sawa hakuna cha waranty wala nn
 
Bora ungenunua SAMSUNG na siyo SUMSUNG mkuu. Originally SAMSUNG inatengenezwa South Korea na SUMSUNG inatengenezwa CHINA.

Sina msaada, pole sana.
 
kinachojudge simu ni chip inayotumika na sio brand kama mnavyofikiri. soc ya simu ndo kuna processor, graphics processor, fm radio, mambo ya network na mengine mengi so kama soc ni ya mediatek basi tatizo la simu moja ya mediatek linaweza kulikumba simu nyengine.

tuje kwenye mada hebu jaribu njia hii.


simu za mediatek zinachange imei usishtuke sana hata hiyo uliyonayo pengine ni feki
 
chief mkwawa, kuna kipengele cjakielewa hapa, yan ntabadilishaje imei number, na hiyo new imei naipataje? Afu tena kuna 1ST PDP nazipataje?

kaka umeona nimequote somewhere sijajaribu hio tutorial hivyo unachokioba wewe mimi sikioni ungeweza kushare screenshot ingekua vizuri sana

kuna tutorial ya kuchange imei hapa ina picha unganisha hizi tutorial 2 utapata solution.

How to write the IMEI number for Your Android Phone From Fastcardtech | Talking Mobi With You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…