Msaada,Sumsung Galaxy S3 inagoma Internet Connection.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
24,637
Reaction score
43,940
Nina Sumsung Galaxy S3 mpya inagoma Connection ya Internet kila nikijaribu kuiseti inaniambia no internet connection.Bundle kwenye line zipo za kutosha sasa sielewi tatizo ni nini.
 
unatumia mtandao gani?
 
Mimi ninayo pia ila naona kama una Vodacom hakika ni wasumbufu sana. Unaungwanisha internet all of the sudden inakata unatakiwa tena uende vodashop. Huu ni upotevu wa muda kwa wateja. Tupeni ufundi wa kujiunganisha wenyewe bila kwenda vodashop kila mara. Asanteni wakuu.
 
Naona tatizo siyo simu labda huyo ndugu haja register hiyo net work!.mbona samsung products hazisumbui hata kidogo ktk internet.
 
Tumia mtandao wa Zain kwangu mimi naona kama wako vizuri na hawasumbui!
 
hujaeleza vizuri kama ndo mara ya kwanza unaiconnect so setup ndo inagoma au ulishaconnect lakini imekata. Kama ndo mara ya kwanza tafuta mtu anayejua hizo settings au nenda ofisi za kampuni ya simu
 
Ndio mara ya kwanza Mkuu.
 
Kama unatumia line ya tigo nenda kwenye SETTINGS, WIRELESS&NETWORKS-MOBILE NETWORKS, chagua. Access Point Name, sehemu ya Name andika tigoweb na kwenye APN andika tigoweb baada ya hapo save
 
Kama alivyosema Bussy ukiona hizo setting jaribu kuangalia kwenye mobile data labda iko off:
 
Kama unatumia line ya tigo nenda kwenye SETTINGS, WIRELESS&NETWORKS-MOBILE NETWORKS, chagua. Access Point Name, sehemu ya Name andika tigoweb na kwenye APN andika tigoweb baada ya hapo save

Ok,ngoja nijaribu Mkuu.
 
Kama unatumia line ya vodacom nenda kwenye SETTINGS, WIRELESS&NETWORKS-MOBILE NETWORKS, chagua. Access Point Name, sehemu ya Name andika vodacom na kwenye APN andika internet baada ya hapo save
 
Naona tatizo siyo simu labda huyo ndugu haja register hiyo net work!.mbona samsung products hazisumbui hata kidogo ktk internet.
Mkuu mimi nili register Vodacom galaxy s3 na kila wakati utashangaa ikifika weekend mtandao unakata kabisa inabidi tena nirudi wakaweke!!! Naona kuna kamchezo. Nataka niwaanzishie thread kabisa maana hawa wanatuibia. Si wanajua kifurushi kitaisha muda na watauza kwa wengine. Vijana wameajiriwa juzi na majumba salasala unafikiri wanatoa wapi hela. Kuna namna mkuu!!
 
Kama unatumia line ya tigo nenda kwenye SETTINGS, WIRELESS&NETWORKS-MOBILE NETWORKS, chagua. Access Point Name, sehemu ya Name andika tigoweb na kwenye APN andika tigoweb baada ya hapo save

Na kwa Voda mkuu tuelimishe tuache kwenda vodashop kila mara. Wanasumbua sana bora tujue jinsi ya kutata tatizo.
 
Kama unatumia line ya Vodacom kwenye Name andika voda na kwenye APN andika internet
 
Muda wa kwenda shop uwekewe settings za Internet ni kupoteza muda, kwa huo muongozo uliotolewa hapo juu na BussyB, si lzm kila mtandao uweke settings zake. Unaweza kuweka settings "malaya", Kwenye name weka internet, kwenye APN weka internet, halafu save and activate. Hiyo itafanya kazi kwenye kila mtandao. It's easy as 1234.
 
Kama unatumia line ya Vodacom kwenye Name andika voda na kwenye APN andika internet

Mkuu asante, nimejaribu naona haikuwezekana, ngoja tu nijingee pale ila nitataka kabisa wanionyeshe tatizo ili likitokea tena nisisumbuke. Inachosha sana.
 
Back
Top Bottom