Msaada,Sumsung Galaxy S 3 inakataa Network Connection ya Internet inagoma.

Msaada,Sumsung Galaxy S 3 inakataa Network Connection ya Internet inagoma.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,743
Reaction score
47,037
Wakuu naomba mnisaidie nina Sumsung Galaxy S3 mpya inagoma kwenye Internet Connection Setting,msaada please!
 
Inapogoma inaleta ujumbe gani? na hapa >> 'inagoma kwenye Internet Connection Setting'' unamaanisha nini?
 
Inaleta,Network failed,no network connection.

Jaribu kui-reboot na kama baada ya kui-reboot network inakubali basi tafuta app inaitwa 'restart connections' kwahiyo mara nyingine ikigoma utakuwa ukiiamsha upya kwa kutumia hiyo app tu bila kuizima.
 
Mkuu pamoja na Wakuu wengine niwashukuru sana kwa msaada wenu,sasa hivi ipo Ok,shukurani sana.
 
Back
Top Bottom