MSAADA: Strong Receiver SRT 4663x haiwaki baada ya ku-upgrade

MSAADA: Strong Receiver SRT 4663x haiwaki baada ya ku-upgrade

Verified

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
118
Reaction score
385
Wakuu nisaidieni cha kufanya, nimedownload firmware ya strong receiver model SRT 4663x, sasa nimeenda kwenye menu baada ya kuweka USB nimeclick data transfer ikafungua USB then nika select program niliyodownload, imeonesha progress bar kuwa ina upgrade baada ya hapo ikazima kabisa kwenye tv naona "no signal".
Nimekaa muda mrefu hata nikibonyeza power on.

Wenye utaalamu wa hizi kitu msaada wakuu.
 
kaka umeshaiua hiyo kitu hizo ni fake sio original strong kunakitu wameweka kwenye upgrade zao ukiiweka kwenye receiver fake inaiuwa haiwaki tena we kanunue mpya tu kuna sehemu mimi nilipita nikaona hiyo warning kwenye forum za wa nigeria
 
Brother ni kweli kabisa ukiweka new s/w ya genuine strong receiver kwenye ambayo ni fake or vice versa,then you are in for trouble already. It 'll not function again. If your receiver is Genuine you can see the agents and they 'll help you out. In your case i don't know where 'll you find the agents in Tanzania. Maybe somebody can tell.
 
ni kweli imekufa hiyo. Lakini na 2maini kwako la kuihuisha rcva yako. Nikipata muda ntarudi.
 
Soma maelekezo ya jinsi ya kuifufua receiver iliyokufa kutoka kwa huyu mtaalamu mzoefu anaitwa Lemmy Morgan. Tafuta kwa google How to wake up a fried strong receiver. Utapata maelekezo yote kiufasaha zaidi.
 
Jamaa hapo anaongelea original sio fake
 
Hapo kweli imekufa labda jaribu kwa mfumo wa STB yaani tafuta receiver ya kufanana na hiyo then pachika nyaya za kutransfer data hizo toka kwenye receiver nzima kwenda yako hiyo mbovu.
 
Jamaa hapo anaongelea original sio fake

Yap,ni kweli,lakini pia kumbuka tatizo lenyewe pia laweza kuwa limesabishwa na mambo haya-1 Labda USB ilotumika ilikuwa na virus,au 2.ameingiza F/W ambayo si sahh kwa genuine,au 3. Ilizima wakati anaingiza s/w yake,au 4. Receiver yake yaweza kuwa si genuine. Hivyo anaweza kufuata maelekezo yaliyopo na akajaribu njia mojawapo iwapo hana recva nyingne anayoweza kutumia kuhamisha data.
 
Wakuu nisaidieni cha kufanya, nimedownload firmware ya strong receiver model SRT 4663x, sasa nimeenda kwenye menu baada ya kuweka USB nimeclick data transfer ikafungua USB then nika select program niliyodownload, imeonesha progress bar kuwa ina upgrade baada ya hapo ikazima kabisa kwenye tv naona "no signal".
Nimekaa muda mrefu hata nikibonyeza power on.

Wenye utaalamu wa hizi kitu msaada wakuu.

Ndugu pole sana sasa hiyo receiver yako haikuwa original so tafuta nyingine ambayo ni fake copy then fanya data transfer. Kugundua fake copy tembelea tovuti ya strong technology.
 
Hiyo receiver wala haijafa ni kwamba ali-update kwa kutumia firmware ambayo si ya srt 4663. Cha kufanya unatakiwa utafute cable inayoitwa R 232 iwe na njia sita za kike pande zote. Ukishaipata una-connect desktop pc na receiver. Ukishaipata hiyo cable utaniambia ili nikupe link utakayo-download software ya ku-upgrade hiyo kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom