Msaada SPSS inahitajika haraka

Msaada SPSS inahitajika haraka

KDS

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
46
Reaction score
15
Wakuu sina shaka mnaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa letu.
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji haraka sana program ya SPSS version 17. Computa yangu ni window 7, nipo Korogwe kwa wiki hii ya xmass. Alie tayari kwa logistics anipm.
 
Back
Top Bottom