Msaada: Sola gani nzuri?

Msaada: Sola gani nzuri?

kengemajikwetu

Senior Member
Joined
May 12, 2022
Posts
158
Reaction score
680
Waheshimiwa Heri ya Jumapili.

Ni Sola ya Kampuni gani inafaa na inadumu kwa kuitumia kijijini mahali kwenye mvua nyingi?

Nitashukuru kwa msaada wa maelekezo ya ninunue ipi iliyo Bora maana makampuni yapo mengi.

ASANTENI
 
Hivi hizi solar lifespan yake ni mda gani?
Zinafikisha miaka 5 kweli?
 
MTOA MADA NAKUONYA,USIJE UKATHUBUTU KWENDA KUNUNUA AU KUKOPA SOLA ZA KAMPUNI YA MYSOL AMBAO ZAMANI WALIKUWA WANAJIITA MOBISOL,NI KAMPUNI YA WEZI,MATAPELI NA MAJAMBAZI,TAFUTA NYUZI ZANGU HUMU NILIWAHI KUANDIKA JINSI WALIVYOWATAPELI WAZAZI WANGU KIJIJINI IKUNGI SINGIDA,NAMI NIKAFANYA MPANGO NIKALIPIZA KISASI KWA KUWATAPELI SOLA YAO NYINGINE,
NAKUONYA,MYSOL AU MOBISOL NI KAMPUNI YA KITAPELI NA KIJAMBAZI NA INATAPELI SANA WANANCHI MASIKINI VIJIJINI.KANUNUE SOLA HUKO SUNDAR ZA BEI NAFUU NA ZENYE UBORA,UKITAKA MAELEKEZO MENGINE NJOO PM,LAKINI ONYO KWA WOTE,IOGOPENI MYSOL AU MOBISOL KAMA MNAVYOUOGOPA UGONJWA WA UKIMWI
 
Naifahamu hiyo Kampuni A to Z,niliajiriwaga hapo kwa miaka NANE kama Area Manager,ni Kampuni ya MATAPELI kwelikweli,bidhaa zao ni feki na ni gharama sana hivyo wito kwa Wananchi ni KUOGOPA bidhaa za Kampuni hiyo maana ni majanga.
Kikubwa ni Serikali kuongeza juhudi ya kuunganisha umeme kwenye vijiji vyote nchini ili Makampuni ya KITAPELI kama hii MYSOL yafe tu maana yanawaibia na kuwanyanyasa sana wananchi wanyonge huko vijijini.
Tanzania BILA bidhaa Feki za MYSOL inawezekana
 
Back
Top Bottom