Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
Jamani wana jamii forum tusaidieni mliopo mjini soko la mbaazi huku kwetu Manyara bei imegoma na muda wa kuanza kilimo umekaribia hatuna namna mbaazi ndiyo mkombozi wetu. mwaka jana kampuni ya Bakhresa walikuwa wananunua lakini mwaka huu hatuwaoni. mwenye kujua soko la mbaazi atujulishe.
Asanteni sana.
Asanteni sana.