Msaada: Software muhimu kwa benki zote

Msaada: Software muhimu kwa benki zote

Gazaniga

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
1,051
Reaction score
360
Habarini Wadau,

Naomba nijuzwe ni software ipi ya muhimu sana na inayoweza kutumiwa na bank zote au karibu zote katika process nzima ya kukeep data,kufanya transactions n.k

Kuna uwezekano mkubwa sana nikaajiriwa bank na nilisoma IT na napenda kuwork katika area hiyohiyo,nipo tayari kuisomea hiyo software na kujua namna ya kuitumia.

Nitashukuru sana kwa msaada.
 
sasa kaka huoni kama hio software ingekua yeboyebo bank zingeibiwa sana? maana kila mtu anaijua.

hilo ni kati ya maeneo ambayo bank inahitaji kuspend sana kama watataka software hizo. wewe utakuwa msimamizi tu wataalam watatengeneza
 
Kwanz bank hawa2mii software wanatumia system. Ndo maana unawez ukaend kuwek ela wakakwambia mtandao hamna
 
Ila the way system inavofanya kazi ni da same kwa bank zote isipokuwa kweny security protocols ndo huwa tofaut.
 
sasa kaka huoni kama hio software ingekua yeboyebo bank zingeibiwa sana? maana kila mtu anaijua.

hilo ni kati ya maeneo ambayo bank inahitaji kuspend sana kama watataka software hizo. wewe utakuwa msimamizi tu wataalam watatengeneza

Nashukuru sana kwa kunifumbua.
 
Software ya benki unayoongelea inatwa Core Banking System hii ni software tu, hii ndo inatunza accounts za wateja pamoja na zile za GL za benki na ndo Debits na Credits zinafanyika katika hiyo software.

Pia software hii inaruhusu software zengine kufanya Debits/Credits kwenye account hizo kupitia njia tofauti kwa mfano File Uploads unaipa Core Banking System file inayoiambia idebit au Icredit account zipi, WebServices Core banking inaruhusu sofware nyingine kuconnect katika WebService na kuipa commands ambazo zinaeefect accounts.

Kwa njia hii unaweza ukawa na Core Banking System ya kampuni moja lakini ikafanya kazi na Software za kampuni nyingine kwa mfano ATM au Mobile Banking inaweza kuwa ya kampuni nyingine bila tatizo.

Core Banking System popular haziko nyingi duaniani kwa kuwa ni soko gumu sana kuingia na kupata wateja.
Mfano ni
FlexCube ya Oracle
Finacle ya InfoSys
SAP for Banking ya SAP
T24 ya Temenos

Kwa bahati mbaya hizi Software hautaweza kuzipata wala kuziinstall kwenye machine yako, na hata ukifanya kazi benki kwa hapa TZ hautaruhusiwa kuzigusa kiundani maana mikataba yake ni kwamba modification zote zinafanywa na kampuni yenyewe huko walipo (Mostly India) au wanamleta mtu wao.
 
Kaka Upo benki?
 
Back
Top Bottom