Sio rahisi kutumia computer ya kawaida kuangalia tatizo kwenye circuit, Kuna complex computer systems zinatumika sana na factory kubwa zinazotengeneza electronics devices, na maranyingi huwa zinafanya inspection kwenye printed PCB ili kuangalia shortcircuits na matatizo mengine, na kuhusu component zinazopachikwa kunakuwa na panel ya watu kadhaa na kila mtu atapewa kazi ya kukagua kifaa/vifaa kadhaa kama vinafanya kazi iliyokusudiwa na mwisho kabisa ndo watafanya general test ya vifaa vyote.
Kwa kuongezea unaweza kufanya troubleshooting kwenye circuit kwa kutumia computer yako ya kawaida endapo tu manufacturer alikipa uwezo hicho kifaa chako kufanyiwa hivyo vinginevyo labda ufanye ubunifu wako mpya, mfano mdogo ni battery za laptop kuna laptop zinakuja software za monitor battery life, unaweza uka run kwenye BIOS au kawaida na ikakupa majibu kama battery inahitaji kubadilishwa ama la.