Msaada: Smart TV haipokei HD Wire

Msaada: Smart TV haipokei HD Wire

Seth seth

Senior Member
Joined
Jan 2, 2022
Posts
115
Reaction score
156
Wakuu Happy Good Friday. Nimenunua smart TV na Kama mjuavyo ili tv iwe na clear pictures ni vizuri kuunga HD wire. Lakini Cha ajabu hiyo tv yangu haikubali kupokea huo waya wa HD.

Tatizo laweza kuwa nini?
 
Waya gani ulioweka? Je una HDMI CABLE? Au umeweka chaneli ya ITV na EATV
 
Wakuu Happy Good Friday. Nimenunua smart TV na Kama mjuavyo ili tv iwe na clear pictures ni vizuri kuunga HD wire. Lakini Cha ajabu hiyo tv yangu haikubali kupokea huo waya wa HD.
Tatizo laweza kuwa nini?
Haipokei kivip? Hdmi haungii au aje fafanua zaidi
 
Wakuu Happy Good Friday. Nimenunua smart TV na Kama mjuavyo ili tv iwe na clear pictures ni vizuri kuunga HD wire. Lakini Cha ajabu hiyo tv yangu haikubali kupokea huo waya wa HD.
Tatizo laweza kuwa nini?
Fafanua smart tv yako haina port ya hdmi ,au haisomi hdmi?je kuna port za Av
 
Unaingia vizuri tu lakini picha hazibadiliki zinabaki vilevile
Ukishaingia inabidi ubadili source ya input kwenye tv kwenda kweny hdmi mfano kama iko kwenye avi badili iwe hdmi
 
Wakuu Happy Good Friday. Nimenunua smart TV na Kama mjuavyo ili tv iwe na clear pictures ni vizuri kuunga HD wire. Lakini Cha ajabu hiyo tv yangu haikubali kupokea huo waya wa HD.
Tatizo laweza kuwa nini?
Unaonekana hujui chochote kuhusu connection yaani ukishacomect nenda kwenye source au input inategemea na aina ya remote then chagua HDMI
 
Piga picha ya setting za TV yako uelekezwe vizuri.
 
Back
Top Bottom