Hoja sio oppo ninayo na ninaishi pia,kwa sasa whatsap mambo ya simu kua rooted au bootloader kua unlocked ndio sababu za msingi ,kikubwa ingia play store pakua app ya play integrity app checker kisha ifungue ,ikikuletea vema zote tatu simu itakubali whatsap na kinyume chake ,pia tumia cpu z kujua simu kama imechokonolewa