Huu ni mshahara wa April ndugu siyo Mei, pia hata kwa tuliokwisha pokea mshahara salary slip bado hazijawekwa huko portal.Ok,mwaka Jana 2018 mshahara wa mwezi may nilikosa hivihvi tatizo lilikuwa vyeti vya secondary,nilipowasilisha mshahara ukawa unaingia kwenye akaunti kawaida ila huo mshahara wa mwezi may mpaka leo hawakutuma,Sasa Tena mwezi huu imenishitua imenikumbusha ya mwaka Jana,ndo nimeanza kufikiria Mambo ya vyeti Tena lakini mwaka Jana tatizo liliisha baada ya kuwasilisha vyeti,ndo nilikuwa naumiza kichwa imekuwaje Tena mwezi huu,ngoja tuvumilie hiyo tuone
Mimi sioni ya Mwezi wowote,sasa sijui Mtandao au ?[emoji848]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Salary slip had TAREHE 30Habarini wakuu katika akaunti yangu ya salary slip portal sioni salary slip ya mwezi wa nne wala bank haijanitumia sms ya mshahara. Je tatizo itakuwa nini?
Salary had trh 30Danload ipo hewani
Exactlykwa kawaida salary slips huwa zinachelewa Kutoka Kiasi baada ya ule Mwezi wa Mshahara ugeuke! Mf salary slip ya April, itatoka May!
kingine nna uhakika nacho... Salary slips zimachelewa watumishiportal kuliko Kule MOF salaryportal
Watumishi wote wa umma wanalipwa moja kwa moja na hazina (bot)Poa ngoja nisubirie,Mimi ajira yangu serikali kuu wizara ya Afya,(katibu mkuu wizara ya Afya),
Huo mshahara ulioukosa wa mwaka Jana lazma ujaze fomu ya areas hawalipagi bila vielelezo mkuuOk,mwaka Jana 2018 mshahara wa mwezi may nilikosa hivihvi tatizo lilikuwa vyeti vya secondary,nilipowasilisha mshahara ukawa unaingia kwenye akaunti kawaida ila huo mshahara wa mwezi may mpaka leo hawakutuma,Sasa Tena mwezi huu imenishitua imenikumbusha ya mwaka Jana,ndo nimeanza kufikiria Mambo ya vyeti Tena lakini mwaka Jana tatizo liliisha baada ya kuwasilisha vyeti,ndo nilikuwa naumiza kichwa imekuwaje Tena mwezi huu,ngoja tuvumilie hiyo tuone
Salary slip had ifike TAREHE 30 ndio utapata mfumo ndivyo ulivyoMwenyewe Leo nimehangaika Sana kudaunilod salary slip utumishi portal inakataa
Kwani ushalipwa mshahara?Habarini wakuu katika akaunti yangu ya salary slip portal sioni salary slip ya mwezi wa nne wala bank haijanitumia sms ya mshahara. Je tatizo itakuwa nini?
Ndugu yangu hebu tuliza mzuka kwanza. Hela si umepata? Umesahau kuwa kumekuwa na kipindi kirefu cha sikukuu? Nani yuko hazina(ofisini) tangu ijumaa hadi leo jumatatu kupost hizo salary slips? Nina uhakika ndani ya siku mbili baada ya sikukuu kwisha utaiona mkuu.Habarini wakuu katika akaunti yangu ya salary slip portal sioni salary slip ya mwezi wa nne wala bank haijanitumia sms ya mshahara. Je tatizo itakuwa nini?
Ndugu yangu hebu tuliza mzuka kwanza. Hela si umepata? Umesahau kuwa kumekuwa na kipindi kirefu cha sikukuu? Nani yuko hazina(ofisini) tangu ijumaa hadi leo jumatatu kupost hizo salary slips? Nina uhakika ndani ya siku mbili baada ya sikukuu kwisha utaiona mkuuMwenyewe Leo nimehangaika Sana kudaunilod salary slip utumishi portal inakataa
Officer utumishi aliniambia niandike barua ya kudai huo mshara,barua niliandika mpaka na barua ya kukumbushia lakini sikulipwa nikimfuata ofisini officer utumishi anasema wanashugulikia mpaka leo nikaamua nikae kimya,Sasa mwezi wanne Tena sijapata sababu sijui,ila kesho nitampigia simu ofisa utumishi nijue tatizo Nini tenaHuo mshahara ulioukosa wa mwaka Jana lazma ujaze fomu ya areas hawalipagi bila vielelezo mkuu
Mm nimefanya kazi halmashauri miaka mingi naelewa mifumo
Pole Mkuu..umefukuzwa!
Ndugu yangu hebu tuliza mzuka kwanza. Hela si umepata? Umesahau kuwa kumekuwa na kipindi kirefu cha sikukuu? Nani yuko hazina(ofisini) tangu ijumaa hadi leo jumatatu kupost hizo salary slips? Nina uhakika ndani ya siku mbili baada ya sikukuu kwisha utaiona mkuu
Usihofu taasisi nyingi bado.Hata mshahara sijapata ndo maana najiuliza imekuwaje
Kwa mwez huu wengi wamekosa sio wewe tu inaonekana system ilikuwa down hope jnne mtapataOfficer utumishi aliniambia niandike barua ya kudai huo mshara,barua niliandika mpaka na barua ya kukumbushia lakini sikulipwa nikimfuata ofisini officer utumishi anasema wanashugulikia mpaka leo nikaamua nikae kimya,Sasa mwezi wanne Tena sijapata sababu sijui,ila kesho nitampigia simu ofisa utumishi nijue tatizo Nini tena