Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 748
Huu ni mshahara wa April ndugu siyo Mei, pia hata kwa tuliokwisha pokea mshahara salary slip bado hazijawekwa huko portal.Ok,mwaka Jana 2018 mshahara wa mwezi may nilikosa hivihvi tatizo lilikuwa vyeti vya secondary,nilipowasilisha mshahara ukawa unaingia kwenye akaunti kawaida ila huo mshahara wa mwezi may mpaka leo hawakutuma,Sasa Tena mwezi huu imenishitua imenikumbusha ya mwaka Jana,ndo nimeanza kufikiria Mambo ya vyeti Tena lakini mwaka Jana tatizo liliisha baada ya kuwasilisha vyeti,ndo nilikuwa naumiza kichwa imekuwaje Tena mwezi huu,ngoja tuvumilie hiyo tuone