miss personal cook
Member
- Apr 4, 2019
- 81
- 90
- Thread starter
- #41
Jamani mpaka sahiv mbona hamna mshahara[emoji25]Kwa mwez huu wengi wamekosa sio wewe tu inaonekana system ilikuwa down hope jnne mtapata
Jamani mpaka sahiv mbona hamna mshahara[emoji25]Kwa mwez huu wengi wamekosa sio wewe tu inaonekana system ilikuwa down hope jnne mtapata
[emoji29]Salary haijatoka kwa baadhi ya Watumishi Mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulienda halmashauri kujaza fomu ya kudai mshahara? (Area)Ok,mwaka Jana 2018 mshahara wa mwezi may nilikosa hivihvi tatizo lilikuwa vyeti vya secondary,nilipowasilisha mshahara ukawa unaingia kwenye akaunti kawaida ila huo mshahara wa mwezi may mpaka leo hawakutuma,Sasa Tena mwezi huu imenishitua imenikumbusha ya mwaka Jana,ndo nimeanza kufikiria Mambo ya vyeti Tena lakini mwaka Jana tatizo liliisha baada ya kuwasilisha vyeti,ndo nilikuwa naumiza kichwa imekuwaje Tena mwezi huu,ngoja tuvumilie hiyo tuone
Wenye salary slip zao,wengine ata picha ya salary slip hatuijui,Hivi inafanana na vile vitambulisho vyetu vya 20,000/=
Jamani kuna wengine walipata mshahara kabla ya Sikukuu?
Duh, kumbe Kiswahili ni kigumu hivi! Nimetoka kapa.kwa kifupi ni Kitu kimoja! Salary slip ndio hiyo hiyo ID ya wajariamali wadogo sema hizi huwa zinategemeana na namna Kagere anaweza kuisaidia Msongo kama isingekuwa CAG ndio leo unaskia Sri Lanka
HahahaahhahDuh, kumbe Kiswahili ni kigumu hivi! Nimetoka kapa.