Sasa UDOM UDSM SUA unategemea uvikute NACTE?Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list .
we jamaa unasubili meli ubungo bachelor za udom udsm na sua na nacte wapi na wapiWadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list yao.
Hii ina maana umepigwa konzi pwaaaaaaa!Msaada tafadhali. Kuna vyuo nacte imevitaja lakini kwenye guide book havija ainishwa coure zake wala ada yake. Je hii ina maana gani?
Kivip mkuuHii ina maana umepigwa konzi pwaaaaaaa!