Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Fanya mazoeziSijakosea kuleta huu Uzi kwenye jukwaa la mahusiano na si jukwaa la afya.
Mimi ni kijana 29yrs, nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti, na kitandani nilikuwa vizuri sana kitandani.
Mwaka 2020 nilipoteza kazi, nilipata mawazo makari Sana yaani makali, ilipelekea Hadi moyo wangu kutanuka kwa mawazo na ma pressure Kama yote..
Kipindi icho ndo nilikuwa kwenye penzi Moto Moto na mrembo mmoja,. Yaani huyu dada ni mzuri aswaa. Basi kutokana nilikuwa natumia medication za pressure, aisee kitandani niliyumba Sana, napiga bao moja Tena la chap, baada ya hapo hisia zote zinakata yaani zinakata kabisa,Daaa aibu ya kuta mtu
Basi nilisafiri na kuishi mkoa tofauti na mrembo wangu, nipo nafanya bihashara, bihashara haiendi vizuri yaani nkiwaza kidogo ma stress Kama yote Basi hizo stress zinanitesa yote.
Wiki iliyopita nilikuwa na baby wangu, wiki iyo nilikuwa na stress Kama zote, nilikuwa na appointment ya kukutana na baby wangu . Siku iyo nilipiga kimoja Cha chap, afu mashine ikalala mazima. Daa aibu Kama zote
Bado mpenzi wangu ananivumilia, pamoja ni iyo Hali yangu,
Daa wakuu nipe Ushauri au dawa nifanyeje niweze Rudi kwenye hali yangu ya kawaida?
N.b mwandiko mbaya ka simu kameharibika
Mkuu kazi ngumu kupata, bihashara haziendi ata kidogoKwasababu tatizo lilianza baada ya kupoteza kazi basi tafuta pesa,ukizipata na nguvu za kiume zitarudi
Mkuu wa situation nilizonazo, madeni. Kuondokana na stress sio mchezoShida unaifaham ondokana na stress kwanza
Madeni hayaepukiki kwa mwanaume, piga moyo konde utalipa tu ila maisha lazima yasongeMkuu wa situation nilizonazo, madeni. Kuondokana na stress sio mchezo
tafuta pesa jibu unalo mwenyewe.Sijakosea kuleta huu Uzi kwenye jukwaa la mahusiano na si jukwaa la afya.
Mimi ni kijana 29yrs, nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti, na kitandani nilikuwa vizuri sana kitandani.
Mwaka 2020 nilipoteza kazi, nilipata mawazo makari Sana yaani makali, ilipelekea Hadi moyo wangu kutanuka kwa mawazo na ma pressure Kama yote..
Kipindi icho ndo nilikuwa kwenye penzi Moto Moto na mrembo mmoja,. Yaani huyu dada ni mzuri aswaa. Basi kutokana nilikuwa natumia medication za pressure, aisee kitandani niliyumba Sana, napiga bao moja Tena la chap, baada ya hapo hisia zote zinakata yaani zinakata kabisa,Daaa aibu ya kuta mtu
Basi nilisafiri na kuishi mkoa tofauti na mrembo wangu, nipo nafanya bihashara, bihashara haiendi vizuri yaani nkiwaza kidogo ma stress Kama yote Basi hizo stress zinanitesa yote.
Wiki iliyopita nilikuwa na baby wangu, wiki iyo nilikuwa na stress Kama zote, nilikuwa na appointment ya kukutana na baby wangu . Siku iyo nilipiga kimoja Cha chap, afu mashine ikalala mazima. Daa aibu Kama zote
Bado mpenzi wangu ananivumilia, pamoja ni iyo Hali yangu,
Daa wakuu nipe Ushauri au dawa nifanyeje niweze Rudi kwenye hali yangu ya kawaida?
N.b mwandiko mbaya ka simu kameharibika
Baada ya kufukuzwa kazi, ndo yakaja ma pressureSuali:-
Tatizo limeanza baada ya kufukuzwa kazi au baada ya kuanza kutumia dawa za kupunguza stress??
Mwaka 2018, nilikuwa na demu na mda huo nimeajiliwa kwenye kampuni ya wahindi, wahindi wakaondoka kampuni wakamuachia MTanzania basi akanidhurumu million moja na laki 8, at the same time demu niliye kuwa naye akaniletea kadi ya harusi anafunga ndoa,na huyu demu ndiye aliyesababisha nikachomwa kisu kisa yeye mwenyewe, ili hari nilikuwa nisha mtambulisha nyumbaniSijakosea kuleta huu Uzi kwenye jukwaa la mahusiano na si jukwaa la afya.
Mimi ni kijana 29yrs, nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti, na kitandani nilikuwa vizuri sana kitandani.
Mwaka 2020 nilipoteza kazi, nilipata mawazo makari Sana yaani makali, ilipelekea Hadi moyo wangu kutanuka kwa mawazo na ma pressure Kama yote..
Kipindi icho ndo nilikuwa kwenye penzi Moto Moto na mrembo mmoja,. Yaani huyu dada ni mzuri aswaa. Basi kutokana nilikuwa natumia medication za pressure, aisee kitandani niliyumba Sana, napiga bao moja Tena la chap, baada ya hapo hisia zote zinakata yaani zinakata kabisa,Daaa aibu ya kuta mtu
Basi nilisafiri na kuishi mkoa tofauti na mrembo wangu, nipo nafanya bihashara, bihashara haiendi vizuri yaani nkiwaza kidogo ma stress Kama yote Basi hizo stress zinanitesa yote.
Wiki iliyopita nilikuwa na baby wangu, wiki iyo nilikuwa na stress Kama zote, nilikuwa na appointment ya kukutana na baby wangu . Siku iyo nilipiga kimoja Cha chap, afu mashine ikalala mazima. Daa aibu Kama zote
Bado mpenzi wangu ananivumilia, pamoja ni iyo Hali yangu,
Daa wakuu nipe Ushauri au dawa nifanyeje niweze Rudi kwenye hali yangu ya kawaida?
N.b mwandiko mbaya ka simu kameharibiha
USHAURI wa kimataifa thanksPole sn kijana
Ngoja nami nichangie kirefu kidogo km wadau huko juu.
nikuambie tu Hilo ni tatizo ambalo lipo kichwani kuliko uhalisia .Nguvu ya kujua ubaya ndy inayokutesa
Ni hivi,ubongo wa binadamu unarespond kila kitu(wenyewe hautambui wema na ubaya).
Nakupa mfano wa ukweli..
Mwanamke mmoja alijihisi km ana kipele kwenye mkono wake wa kulia,akaanza kujikuna lkn baada ya wiki kipele kiliendelea kuwepo. Siku moja Rafiki yake alimwona anajikuna akakuuliza hapo umejifanya mm akajibu sijajifanya chochote panawasha Tu..Yule rafiki akamwambia "shoga yangu kuwa makini na hiko kipele maana kuna mdada alikuwa nacho km hiko na karibia mwaka Alipoenda hospital akaambiwa ana kansa na alikuwa ameshachelewa akakatwa mkono,kuwa makini usije kuwa kansa"
Taarifa Ile mbaya ilimfanya huyu mwanamke awaze muda wote na kuanzia muda huo alipokuwa anajikuna alikuwa anawaza kuhusu kansa( kwamba kile kipele kitakuwa ni kansa)..Akaenda hospital akapewa dawa na akaambiwa Hana tatizo kubwa na wala si kansa km alivyowaza.Ila bado alikuwa na mawazo kuhusu kansa.Baada ya miezi 6 Alipoenda tena kucheki mkono(maana hakupona) ilikuwa ni kansa ya ngozi kweli km alivyowaza..unadhani Kwa nini alipata kansa huyu mama?
Ukweli ni kwamba hata Kama huyu mama alikuwa na dalili za kansa tangu mwanzo lkn angeweza kujitibu mapema kupitia mind(ubongo) lkn pia angejiangamiza kupitia hiyo hiyo mind yake,kwa sababu ubongo unarespond taarifa inatojirudia mara Kwa mara bila kuchuja ni nzuri au mbaya..Ukiwaza unalogwa,a ukawa unapeleka taarifa ya kulogwa kwenye ubongo mara Kwa marausiku utaota ndoto za kutisha Tu na mambo mabaya yatakuandama,ukijaza taarifa za umasikini na hauwezi kutoboa utakufa masikini,wachaga wanafanikiwa zaidi Kwa sababu tangu mtu yupo mtoto ubongo unakuwa wired kuwa tajiri(sorry nje ya mada)
Wengine wamesema tafuta hela maana ukifukuzwa kazi Ila kuna ambao Wana hela na Wana matatizo Kama yako na wengine kukuzidi.
Kabla ya kupanda ngazi tunaanza kuipandusha ngazi juu Maana yake kabla haujaanza kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume,Tyr ulishaanza kuu- rewire ubongo wako Una tatizo la nguvu za kiume na ubongo ukaanza kurespond kwamba ni kweli unalo Hilo tatizo na likajitokeza kwenye really(physical) world (pengine tatizo likianza siku ulipopopiga kimoja Kwa sababu ya stress za kufukuzwa kazi lakini wewe Kwa sababu Una file la nguvu za kiume ktk ubongo wako moja wa moja ukaljfungua na kuanza kulirudia mara Kwa mara kwamba hii mbona km tatizo la nguvu za kiume? Hiyo Hali ikajirudia tena na tena ya kupiga kimoja cha jogoo mwishoni ukaja na conclusion kutoka kwenye Bunge la ubongo wako kwamba Una tatizo la nguvu za kiume......puuuu!! Tatizo limejitokeza-nguvu za kiume,nianze kujibust kuepuka aibu
Ukaanza matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume wakati hauna Hilo tatizo( sijui umenielewa hapa mkuu?) Likajitokeza tatizo halisi la nguvu za kiume..mwaka wa Kwanza ,mwaka wa pili,ukaanza kuingia kwenye internet na search engines zako nyingi zikawa "jinsi ya kutatua tatizo la nguvu za kiume". Unakutana na majibu mengi,ukaaaply,lkn bado Hali ni Tete,ukaja jf kuomba ushauri jf wanakuambia tafuta hela hakuna mwanaume mwenye hela ana tatizo la nguvu za kiume [emoji24][emoji24]..wanakuvuruga zaidi
Jibu langu ni hili;
0.stop ponography. Ponography kills your sex desire!!
1.Anza kulisha taarifa mpya kwenye ubongo kwamba hauna tatizo la nguvu za kiume(km utaweza ongea maneno haya mbele ya kioo ukiyarudia rudia mara Kwa mara hasa kabla haujalala ili ubongo ufanye rewiring mpya uamke fresh asubuhi)
2.Unaposex usifikiri kwamba mechi inaenda kuwa mbovu,unaenda kuaibika(hili lipo kichwani nilikuambia)
3.fanya mazoezi ya kegel ..kudindisha mashine (ingia you tube kuna video kibao)
4.fanya mazoezi ya kukimbia na tumbo kupunguza mafuta (kuwa na mafuta mengi tumboni si Jambo zuri Kwa mwanaume)
5.mwandae sn mpenzi wako kabla ya kusex.Hii pia itaongeza ujasiri maana ukiwa mtaalamu atakuwa amekkojoa hata kabla hujapeleka Moto( hapa Pana Sanaa yake na wengi wanafeli,kuna namna ya kuchezea kile kiharage Hadi mwanamke anafika kileleni bila kusex..usiingize kidole ndani na kutoa km wengi eanavyofanya Bali wewe gusa clit Kwa juu kilainishe na Yale majimaji yake kisha chezea Sana. Kungekuwa na uwezekano ningekuwekea video Ila sasa terms and conditions za Jf [emoji28]
6..Mwone daktari Kwa msaada zaidi
NB :sijahakiki nilichoandika,sorry km kutakuwa na typing errors au kutokuelewa
Ushauri namba 0 zingatia sana maana vijana wengi hukwama hapo..
asante[emoji120]
DaAa sawaMwaka 2018, nilikuwa na demu na mda huo nimeajiliwa kwenye kampuni ya wahindi, wahindi wakaondoka kampuni wakamuachia MTanzania basi akanidhurumu million moja na laki 8, at the same time demu niliye kuwa naye akaniletea kadi ya harusi anafunga ndoa,na huyu demu ndiye aliyesababisha nikachomwa kisu kisa yeye mwenyewe, ili hari nilikuwa nisha mtambulisha nyumbani
๐๐ป๐ฎ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐ป๐ถ ๐๐๐ฟ๐ฒ๐๐ ๐ธ๐ถ๐ฎ๐๐ถ ๐ด๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฏ๐ฒ๐ฏ๐ฎ, ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ท๐ฎ๐ผ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐บ๐ฟ๐ถ ๐ป๐ถ๐บ๐ฒ๐ธ๐๐๐ถ๐ฑ๐ถ, ๐ต๐๐บ๐ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐ธ๐๐ป๐ฎ๐บ๐ฎ๐๐๐ธ๐ถ๐ผ ๐บ๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐ผ ๐๐ฎ๐น๐ถ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฒ๐น๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐ถ๐๐ถ๐ฏ๐.
acha kukata tamaa unaweza kusema yakwako ni mazito ila kuna watu wamebeba mazito zaidi yako
Ushauri mzuri kabisa.Pole sn kijana
Ngoja nami nichangie kirefu kidogo km wadau huko juu.
nikuambie tu Hilo ni tatizo ambalo lipo kichwani kuliko uhalisia .Nguvu ya kujua ubaya ndy inayokutesa
Ni hivi,ubongo wa binadamu unarespond kila kitu(wenyewe hautambui wema na ubaya).
Nakupa mfano wa ukweli..
Mwanamke mmoja alijihisi km ana kipele kwenye mkono wake wa kulia,akaanza kujikuna lkn baada ya wiki kipele kiliendelea kuwepo. Siku moja Rafiki yake alimwona anajikuna akakuuliza hapo umejifanya mm akajibu sijajifanya chochote panawasha Tu..Yule rafiki akamwambia "shoga yangu kuwa makini na hiko kipele maana kuna mdada alikuwa nacho km hiko na karibia mwaka Alipoenda hospital akaambiwa ana kansa na alikuwa ameshachelewa akakatwa mkono,kuwa makini usije kuwa kansa"
Taarifa Ile mbaya ilimfanya huyu mwanamke awaze muda wote na kuanzia muda huo alipokuwa anajikuna alikuwa anawaza kuhusu kansa( kwamba kile kipele kitakuwa ni kansa)..Akaenda hospital akapewa dawa na akaambiwa Hana tatizo kubwa na wala si kansa km alivyowaza.Ila bado alikuwa na mawazo kuhusu kansa.Baada ya miezi 6 Alipoenda tena kucheki mkono(maana hakupona) ilikuwa ni kansa ya ngozi kweli km alivyowaza..unadhani Kwa nini alipata kansa huyu mama?
Ukweli ni kwamba hata Kama huyu mama alikuwa na dalili za kansa tangu mwanzo lkn angeweza kujitibu mapema kupitia mind(ubongo) lkn pia angejiangamiza kupitia hiyo hiyo mind yake,kwa sababu ubongo unarespond taarifa inatojirudia mara Kwa mara bila kuchuja ni nzuri au mbaya..Ukiwaza unalogwa,a ukawa unapeleka taarifa ya kulogwa kwenye ubongo mara Kwa marausiku utaota ndoto za kutisha Tu na mambo mabaya yatakuandama,ukijaza taarifa za umasikini na hauwezi kutoboa utakufa masikini,wachaga wanafanikiwa zaidi Kwa sababu tangu mtu yupo mtoto ubongo unakuwa wired kuwa tajiri(sorry nje ya mada)
Wengine wamesema tafuta hela maana ukifukuzwa kazi Ila kuna ambao Wana hela na Wana matatizo Kama yako na wengine kukuzidi.
Kabla ya kupanda ngazi tunaanza kuipandusha ngazi juu Maana yake kabla haujaanza kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume,Tyr ulishaanza kuu- rewire ubongo wako Una tatizo la nguvu za kiume na ubongo ukaanza kurespond kwamba ni kweli unalo Hilo tatizo na likajitokeza kwenye really(physical) world (pengine tatizo likianza siku ulipopopiga kimoja Kwa sababu ya stress za kufukuzwa kazi lakini wewe Kwa sababu Una file la nguvu za kiume ktk ubongo wako moja wa moja ukaljfungua na kuanza kulirudia mara Kwa mara kwamba hii mbona km tatizo la nguvu za kiume? Hiyo Hali ikajirudia tena na tena ya kupiga kimoja cha jogoo mwishoni ukaja na conclusion kutoka kwenye Bunge la ubongo wako kwamba Una tatizo la nguvu za kiume......puuuu!! Tatizo limejitokeza-nguvu za kiume,nianze kujibust kuepuka aibu
Ukaanza matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume wakati hauna Hilo tatizo( sijui umenielewa hapa mkuu?) Likajitokeza tatizo halisi la nguvu za kiume..mwaka wa Kwanza ,mwaka wa pili,ukaanza kuingia kwenye internet na search engines zako nyingi zikawa "jinsi ya kutatua tatizo la nguvu za kiume". Unakutana na majibu mengi,ukaaaply,lkn bado Hali ni Tete,ukaja jf kuomba ushauri jf wanakuambia tafuta hela hakuna mwanaume mwenye hela ana tatizo la nguvu za kiume [emoji24][emoji24]..wanakuvuruga zaidi
Jibu langu ni hili;
0.stop ponography. Ponography kills your sex desire!!
1.Anza kulisha taarifa mpya kwenye ubongo kwamba hauna tatizo la nguvu za kiume(km utaweza ongea maneno haya mbele ya kioo ukiyarudia rudia mara Kwa mara hasa kabla haujalala ili ubongo ufanye rewiring mpya uamke fresh asubuhi)
2.Unaposex usifikiri kwamba mechi inaenda kuwa mbovu,unaenda kuaibika(hili lipo kichwani nilikuambia)
3.fanya mazoezi ya kegel ..kudindisha mashine (ingia you tube kuna video kibao)
4.fanya mazoezi ya kukimbia na tumbo kupunguza mafuta (kuwa na mafuta mengi tumboni si Jambo zuri Kwa mwanaume)
5.mwandae sn mpenzi wako kabla ya kusex.Hii pia itaongeza ujasiri maana ukiwa mtaalamu atakuwa amekkojoa hata kabla hujapeleka Moto( hapa Pana Sanaa yake na wengi wanafeli,kuna namna ya kuchezea kile kiharage Hadi mwanamke anafika kileleni bila kusex..usiingize kidole ndani na kutoa km wengi eanavyofanya Bali wewe gusa clit Kwa juu kilainishe na Yale majimaji yake kisha chezea Sana. Kungekuwa na uwezekano ningekuwekea video Ila sasa terms and conditions za Jf [emoji28]
6..Mwone daktari Kwa msaada zaidi
NB :sijahakiki nilichoandika,sorry km kutakuwa na typing errors au kutokuelewa
Ushauri namba 0 zingatia sana maana vijana wengi hukwama hapo..
asante[emoji120]
Tafuta hela we mhayaSijakosea kuleta huu Uzi kwenye jukwaa la mahusiano na si jukwaa la afya.