mke wa mkuu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 634
- 277
Mmmh labda wanapretend kuenjoy ila hakuna hiyo kitu aseee nakataaaPia maisha sio mtoto wala usife moyo wako wengi tu hawana watoto na wanainjoi tu. Hata shambani sio kila mmea unazaa so take it easy mate
Mmmh labda wanapretend kuenjoy ila hakuna hiyo kitu aseee nakataaa
Ni kujikubali tu no way
Usiwe na wasiwasi tatizo Hilo lilimpata ndugu yangu tena yeye alipoteza miezi 8 mara tatu ushauri. Nenda kamuine daktari bingwa wanawake pili mpumzishe mkeo wakati wa ujauzito punguzeni mikeketo wakati wa ujauzito nadhani doctor Mwaka atakusaidia sana tatizo lako nenda
hahaaa mie mwenyewe atakaeniacha namfanyizia....
Hata mwigulu ccm wamemuacha walikuwa wanaangali mkasi in east Africa TV. Je mwigulu anaweza, na ugaidi wake?
Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahisi nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijaoa. Nifanyeje?
Mimba nne zimetoka sielewi au nimelogwa.
USHAURI WAKO.
Inawezekana tatizo lako ni la kurithi. Je baba yako alibahatika kupata mtoto?
Inawezekana tatizo lako ni la kurithi. Je baba yako alibahatika kupata mtoto?