Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 25
Mimi nafanya kazi kama kibarua katika kampuni fulani sina mkataba wowote wa ajira cha kushangaza leo naambiwa nitaanza kukatwa kodi,,, je hii ni sawa, naomba kuelimishwa hapa.
Umejibu kifupi sana political Engineer2
Kwa kuwa unapata mapato kodi ni sahii kulipa maana sheria ya kodi haisemi wenye mkataba au wasio na mkatabaUmejibu kifupi sana political Engineer2
Mwajiri wako atawajibika kukukata kodi na kuituma TRASasa hiyo kodi nailipa kwa njia gani?
Unaruhusiwa kufika pale TRA Ku confirm kama kodi yako inapelekwa but at your own risk maana anaweza kukufukuza kaziMwajiri amekuwa na ujanja ujanja mwingi na hata malipo ya kazi anayapunguza anavotaka nina zaidi ya mwaka sasa lakini hatoi mkataba wa ajira, je kwa hili nitamwaminije kama hiyo kodi itafika TRA?
kodi inatakiwa iwe asilimia 10 tu labda ni kwa policy ya kampuni tofauti duHiyo ni kweli maana hata tunapoongolea issue ya mikataba vitisho ni kufukuzwa kazi, sasa kodi yenye anapanga mwenyewe kwa kusema kwa kila mtu atakatwa 20% ya pesa atakayopata
Hatujawahi kuambiwa kitu kama hiki, malipo ya wages zetu yanacheleweshwa sana, bosi Kawa mbabe sana pia kwa vile ni kazi za project inatakiwa tunavomaliza wave moja tulipwe ila zinalimbikizwa hadi hata tano hadi kumi.kodi inatakiwa iwe asilimia 10 tu labda ni kwa policy ya kampuni tofauti du
Mm siyo mwanasheria..lkn hyo aslmia 20% ni mwongo. Na mifuko ya jamii unakatwa % ngap?Hiyo ni kweli maana hata tunapoongolea issue ya mikataba vitisho ni kufukuzwa kazi, sasa kodi yenye anapanga mwenyewe kwa kusema kwa kila mtu atakatwa 20% ya pesa atakayopata
watu wa projects tunapata tabu sana ila ndivyo inavyotakiwa kuwa Asilimia kumi tu ya makato ya kodi na hapo mtakuja kuambiwa fedha za nssf asilimia kumiHatujawahi kuambiwa kitu kama hiki, malipo ya wages zetu yanacheleweshwa sana, bosi Kawa mbabe sana pia kwa vile ni kazi za project inatakiwa tunavomaliza wave moja tulipwe ila zinalimbikizwa hadi hata tano hadi kumi.