si mshaachana?
Pole sana. Mchunie kidogo ingawa inauma flani hivi. Atakuja tu na akianza kukutafuta, wewe ndo utakuwa na nafasi nzuri ya kum-dictate na kumwambia unachotaka ni nn. Huyo demu wako bado akili yake ni ya kitoto pia ww yako haijakomaa.
Watu wengine kwa kujidharaulisha hamjambo:A S shade:
Kijana jipende we mweneywe kwanza, kabla kupenda wengine.
Habari wanajamii,
mimi ninamchumba wangu ambaye nipo naye kwa muda mrefu kidogo, wiki ilopita yalitokea makwaruzano kidogo ikapelekea kutokuelewana baina yetu,kila mtu akawa na hasira na hayo makwaruzano kila mtu alichangia kwa kiasi furani.Kutokana na hayo malumbano mchumba angu akasema bora tuachane namimi nikaafiki lakini baada ya siku kadhaa nikajifiria nikahisi sio sahihi ndipo nikaamua kumutafuta mpenz wangu tuyasuruhishe lakini kila nikimpigia simu hapokei,nikajaribu kumtext kuwa inabidi tuonane tusolve tofauti zetu stil yupo kimya, namimi simuelewi naomba ushauri nifanyeje namimi nimpotezee au niendelee kumsikilizia?
Na nani kasema kumpenda mtu ni kujidharaulisha, kujidharaulisha ni pale unapo lazimisha mtu akupende kama vile wewe.kwani kumpenda mtu ni kujdharau?
si mshaachana?
Habari wanajamii,
mimi ninamchumba wangu ambaye nipo naye kwa muda mrefu kidogo, wiki ilopita yalitokea makwaruzano kidogo ikapelekea kutokuelewana baina yetu,kila mtu akawa na hasira na hayo makwaruzano kila mtu alichangia kwa kiasi furani.Kutokana na hayo malumbano mchumba angu akasema bora tuachane namimi nikaafiki lakini baada ya siku kadhaa nikajifiria nikahisi sio sahihi ndipo nikaamua kumutafuta mpenz wangu tuyasuruhishe lakini kila nikimpigia simu hapokei,nikajaribu kumtext kuwa inabidi tuonane tusolve tofauti zetu stil yupo kimya, namimi simuelewi naomba ushauri nifanyeje namimi nimpotezee au niendelee kumsikilizia?
ndetichia habar za siku kwa sasa nina ubatizo wa jina ila nakukumbuka sana mdaunashanga sosi bi hindu times fm
Hahaha, alikuwa anakulia timing huyo! Ukiona haitiki ujue alishajiaandaa kukuacha. Afu stuka, akirudi ujue alternative b imekwama.