Msaada: Simuelewi

Msaada: Simuelewi

Acha kuwadhaifu kjn,mkatae mazima hakuna haja ya kuenelea kujidharaurisha.
 
kwani ugomvi huo ni wa nini tusishauri tu usikute wewe ndio tatizo
 
Alikuwa anatafuta sababu ya kukutema ili aendelee kivyake vyake na mchuchu wake wa pembeni, kama yalikuwa ni makwaruzano kidogo kama ulivyoandika. Piga konde moyo ili uweze kuendelea na maisha yako. Pole sana.

Habari wanajamii,
mimi ninamchumba wangu ambaye nipo naye kwa muda mrefu kidogo, wiki ilopita yalitokea makwaruzano kidogo ikapelekea kutokuelewana baina yetu,kila mtu akawa na hasira na hayo makwaruzano kila mtu alichangia kwa kiasi furani.Kutokana na hayo malumbano mchumba angu akasema bora tuachane namimi nikaafiki lakini baada ya siku kadhaa nikajifiria nikahisi sio sahihi ndipo nikaamua kumutafuta mpenz wangu tuyasuruhishe lakini kila nikimpigia simu hapokei,nikajaribu kumtext kuwa inabidi tuonane tusolve tofauti zetu stil yupo kimya, namimi simuelewi naomba ushauri nifanyeje namimi nimpotezee au niendelee kumsikilizia?
 
Back
Top Bottom