kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,069
- 7,508
- Thread starter
- #21
Umejaribu wangapi?Wafuasi Wa chadema viuno vigumu mno.
Umejaribu wangapi?Wafuasi Wa chadema viuno vigumu mno.
Ana Dildo huyoHabarini wadau,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekuwa na mpenzi wangu kwa mahusiano ya kimapenzi kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tatizo lake ni pale tunapokuwa tunakutana kimwili huwa anaonesha anapata hisia ila hafiki kileleni hata kama nitafanya kwa muda mrefu kiasi gani ila nikimaliza ananisukuma pembeni anajikunyata hadi anafika kileleni akiwa peke yake.
Sasa sielewi kama ni hali ya kawaida au kuna tatizo hapo, ila muda wote wa tendo anakua yupo wet.
Karibuni kwa ushauri/maoni.
Ana Dildo huyo
Hata ukae kiunoni siku nzima kama hujagusa baadhi ya maeneo itakuwa shida tu. Embu kama ulivyoshauliwa hapo juu, jaribu kugusa kwa usitadi yaani taratibu sehemu kama clitoris, matiti na kumchumu chumu sehemu za shingoni na masikioni. Vilevile ongea naye aseme wapi hasa akiguswa ana enjoy zaidi. Mfano sehemu kama G - spot, na style ile inaitwa seminary style (kifo cha mende) wewe unakuwa juu halafu yeye anakubana na miguu yake sehemu ya juu kidogo kutoka visigino vyako. Sio hiyo tu, jaribu na nyingine nyingi wewe ni kijana wa kileo au sio. Halafu embu chunguza pale anapokusukimia pempeni uki ejaculate anakuwa nafanya nini hasa. Isije kuwa anajichetua kwa enzi zetu zile tunaita puli. Au pia yaweza kuwa amezoea kitu ile kubwa akati wewe una kibamia (sorry for that bra) lakini usihofu hata uwe na hicho ukikitumia ipasavyo mbona atakusifia akifika sayari ya Jupiter. Angalia pia isije ikawa ni spiritual attack mfano jini mahaba ndio analo. Ngoja waje wataalam wakupe maujanja zaidi.
mchezee kiantena chake
kiclitoryKiantena ndo kinini hicho,msaada plz
Kijana wa kileo hapo sasa umenene vyema..., akianza kupiga makelele ya utamu wewe ndio undoa concentration zako hapo kwenye tendo ongeza speed 120km/hr za kumsugua zaidi ili amalize kwanza yeye. Ok, kwa upande mwingine wa spiritual husband wanawake wengi huwa wana matatizo hayo. Hapa sio swala la wewe kuamini hivyo au la. No no no, inawezekana bado ni mgeni na mambo hayo. Wanawake wengi huwa hawa admit kuwa wanalo au hawajui kuwa ni kitu kama hicho. Mfano kuota ndoto yupo na mtu anayemjua kama hivyo wewe akiwa ana do na kumaliza hilo tayari ni tatizo lenyewe kama hujui. Hata wewe mwenyewe kuota ndoto upo na mpenzi wako na una enjoy mpaka unamaliza kabisa tena kwa mshindo wa hatari ya wa kuchafua mashuka na boxer ujue tayari ni wewe una pepo hilo. Matatizo hayo ndio chanzo kikubwa cha kutopata watoto kwa walio wengi. Nadhani wewe hujafika hatua hiyo pengine, lakini ukikumbwa na mikasa hiyo hapo utakubali. Anyway wewe ni kijana wa kileo endelea kutafiti kwanza kuna siku utajua tu............
Icheki googleDildo ndo nini mkuu?
kiclitory
ha ha ha marahabaTeh teh,shkamoo kungwi
ha ha ha marahaba
sijambo sana za kwako huko??Hujambo?
sijambo sana za kwako huko??
My flati screen unanitia wivu, kwanin huyo jamana akusalimie wewe na sio wengine!sijambo sana za kwako huko??
Dini hairuhusuBadili gia angani mkuu
Duuh hili nalo ni jipya, shetani anasura nyingi jamani.Habarini wadau,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekuwa na mpenzi wangu kwa mahusiano ya kimapenzi kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tatizo lake ni pale tunapokuwa tunakutana kimwili huwa anaonesha anapata hisia ila hafiki kileleni hata kama nitafanya kwa muda mrefu kiasi gani ila nikimaliza ananisukuma pembeni anajikunyata hadi anafika kileleni akiwa peke yake.
Sasa sielewi kama ni hali ya kawaida au kuna tatizo hapo, ila muda wote wa tendo anakua yupo wet.
Karibuni kwa ushauri/maoni.