mimi naomba kusaidiwa hivi karibuni nilimtumia mtu sms ilikuwa si ndefu sana ni ya wastan,lakini cha kushangaza ni kwamba ile sms nusu ilifika kama nilivyoandika na nusu yake haikufika bali yalijitokeza maandishi mengine kabisa.nikajiuliza kwann??sasa niliomba kujua kama kuna mtu aliwahi kupata shida kama hii tafadhali wataalamu nisaidieni