thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Habari za muda huu wadau,
Nilikuwa natumia Tecno W4 kwa mUda mrefu kidogo, lakini ghafla ilianza kupunguza muda wa kukaa na chaji na mwisho kabisa ikawa haichaji.
Inawasha kitaa chekundu kwa ishara kama inachaji lakini haiingizi chaji, hata ikiingiza itaishia asilimia 3 tu,
Nimebadilisha system chaji lakini hamna mafanikio yeyote.
NAOMBENI MSAADA WA CHAKUFANYA KUTATUA TATIZO ILI IWEZE KUWAKA