Msaada simu yangu ya huawei imestop google update

Mkuu lugha ya malkia inatutatiza hapa
Kuna tofauti kati ya
Kuendelea kutumia huduma za Google zilizokuwepo
Na kupata updates

Wataendelea kutumia lakini hawatapata update
Simu mpya hazitakua na huduma kabisa

Nirekebishe
 
Chief nisaidie hili swali.

State some command which you can use to recovery window from problem.

msaada please!!
 
Mkuu lugha ya malkia inatutatiza hapa
Kuna tofauti kati ya
Kuendelea kutumia huduma za Google zilizokuwepo
Na kupata updates

Wataendelea kutumia lakini hawatapata update
Simu mpya hazitakua na huduma kabisa

Nirekebishe
Kwenye statement ya huawei wamesema security update zitatolewa ( huwa siku zote zinatoka google), na hizi updates ndogo ndogo za miezi ndio security update zile kubwa za kila mwaka ndio zinachange version na major features.

Na pia usisahau wameongezewa miezi mitatu ya kutumia vitu vya usa, hivyo hata kama upo sahihi kwenye interpretation yako bado ban haijaanza kufanya kazi, mpaka miezi 3 ipite.
 
Ur correctly ila chief mie nina shida tofauti sana , Document zangu zimetafunwa na virus ajulikanae kama ferosas kumuondoa ni ngumu sana ame encyrpty document zote ,nashindwa kuzifungua .. nisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…