Msaada: Simu yangu samsung s3 haifungui jamiiforums

4REAL

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
45
Reaction score
11
Wataalamu wa Android naombeni msaada simu yangu samsung s3 kuna baadhi ya applications hazifunguki huu mwezi sasa. Haifungui Jamii forums, na mimi nisipoingia jf siku moja tu napata homa. Hata Play store yenyewe haifunguki labda ninge uninstal na ku instal upya.
 
Original au Mchina?? Inatumia Android Version ipi?
 
Nenda kwenye Setting, then Shuka About Phone,bofya About Phone, kisha bofya Software Update, Lazima itaupdate Android 4.2.3 au 4.2.4 Jerry Ben. Inatakiwa uwe na Bandle km 600Mb .....

Nimejaribu ku update inaleta error: Failed to update firmware due to network or server problem. try later o try using PC Kies. Na nina mb 1700
 
Pole sana mkuu tumefanana mi nina s4 v4.2.2 nilikuwa natumia jf old version ikawa inakataa kuupdate new version ikabidi niiuninstal ili kuinstal new version lkn cha ajab niidownload app kuinstal inagoma kabisa sasa inanibidi kuvist jf kupitia browser za kawaida na sio app hivyo basi inaonekana samsung km vile zina matatizo
 
mbona sisi wa tecno hatuna shida hizo$!!!!!!! misimu ya gharama lakini matatizo kibao
 
Wataalamu wa Android naombeni msaada simu yangu samsung s3 kuna baadhi ya applications hazifunguki huu mwezi sasa. Haifungui Jamii forums, na mimi nisipoingia jf siku moja tu napata homa. Hata Play store yenyewe haifunguki labda ninge uninstal na ku instal upya.
angalia Mobile network setting, hakikisha umecheck ki-mduara kinachosema Data roaming....
 
Pole sana mkuu tumefanana mi nina s4 v4.2.2 nilikuwa natumia jf old version ikawa inakataa kuupdate new version ikabidi niiuninstal ili kuinstal new version lkn cha ajab niidownload app kuinstal inagoma kabisa sasa inanibidi kuvist jf kupitia browser za kawaida na sio app hivyo basi inaonekana samsung km vile zina matatizo
Bado unapata tatizo hili?
 
Back
Top Bottom