Msaada simu yangu inashindwa kupandisha network

Msaada simu yangu inashindwa kupandisha network

Joined
Feb 6, 2016
Posts
15
Reaction score
4
Simu angu aina ya samsung galaxy a20 muda mwingi inaandika emergence call kwa line zote mbili kuna muda network inashika na kuna muda network inakata.

Nimewapelekea mafundi kila fundi anasema hawezi kutatua hilo tatizo nilikua nahitaji msaada kuhusiana na hilo wadau
 
Kama sio CERT basi tatizo litakuwa ndani kwenye saketi yake.ile sehemu ya signal ina shida.
 
Simu ulinunua mpya au mtumba?

Ilishawahi kupata Network vizuri?

Ilishawahi kufunguliwa na fundi kabla ya shida hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom