msaada simu yangu inaandika invalid imei

msaada simu yangu inaandika invalid imei

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
naomba msaada jamani, natumia simu yenye os ya android, imeniletea hayo maneno na toka yamekuja nashndwa kupga simu, kutuma sms wala kupata internet, nifanye nini jamani?
 
ni simu ya mediatek? maana hizo hazina imei jamaa wana tool yao kabisa ya kuchange imei
 
Back
Top Bottom