Msaada; simu yangu ina virus hatari

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Nimeambiwa kinaitwa sexual .... data ikiwa on inadownload vitu vya hovyo na vingi sana kila wakati, kuna mda mpaka inajizima na kujiwasha. Kwa jinsi ilivyo siwezi hata kumpa mtu kwa dakika moja make picha zinazoletwa pale ni za hovyo mno.

Kwa mwenyewe uwezo wa kunisaidia naomba msaada
 
Reset simu kwanza,pili download Avast Ni antivirus nzuri,tatu download apps zako muhimu tu,sio kila app una download.
 
Unatumia simu gani? Solution ya uhakaika ni kuweka os mpya...
 
Simu yako ni aina gani
 
Mafundi wanazo virus removal tools ama badilisha os AKA Flash simu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…