Msaada: Simu yangu iko kwenye lugha ya Kijerumani

albuluushiy

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
1,351
2,000
Habari za jioni wadau
Nina simu aina ya t-mobile m.d.a window phone mpya ila tatizo ina Kijerumani ndugu zangu ajuae anisaidie kubadilisha kwenda kwenye kiingereza au anishauri nifanyeje, pia naomba msaada wa jinsi ya kupata store yake

Ahsanteni wapendwa
 

Likasu

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
779
500
Ushauri wa haraka tafsiri hiyo lugha kwa kutumia google translator ili ubadili kwenda kiingereza.
 

Likasu

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
779
500
Nilimaanisha utumie vyanzo vingine kama computer yenye internet kujua hiyo lugha.
 

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,453
2,000
Nilipata tatizo kama hilo nikasechi you tube nikapata video nikadesa...video ya kiingereza lakini mi nilikariri button husika
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,738
2,000
badili vitu viwili language na region.

bonyeza setting scroll mpaka utaona kuna kuna maneno then yana clarification yenye mabano. kama screenshot hiiitadownload kama phone update na itataka urestart simu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom