Factory reserNina tatizo nahitajia usaidizi Simu yangu haisomi line ya Airtel na imetokea kukata mawasiliano ghafla tuu kwani mwanzo ilikuwa unasoma vizuri kabisa
Card slot ya simu iko sawa maana line nyingine zote zinasoma Kasoro Airtel
Wakati huohuo line hiyo ya Airtel ukiiweka kwenye simu zingine inasoma pia
Nimetumia njia zote upande wa settings lakini Airtel haisomi
Mwenye ujuzi wa hili anisaidie aina ya Simu ni Redmi Note 11 Pro Plus
Mkuu ukiwa na muda pitia customer care cemtre za airtel wakutatulie tatizo lako.Nina tatizo nahitajia usaidizi Simu yangu haisomi line ya Airtel na imetokea kukata mawasiliano ghafla tuu kwani mwanzo ilikuwa unasoma vizuri kabisa
Card slot ya simu iko sawa maana line nyingine zote zinasoma Kasoro Airtel
Wakati huohuo line hiyo ya Airtel ukiiweka kwenye simu zingine inasoma pia
Nimetumia njia zote upande wa settings lakini Airtel haisomi
Mwenye ujuzi wa hili anisaidie aina ya Simu ni Redmi Note 11 Pro Plus
Unaakili usipovuta mibangi Yako hiyo mkuu......achana nayo itakuharibuKama sim yako inatumia 2 card slots, ebu jaribu kuswap line 1 iende 2 kisha line 2 irudishe 1