Msaada: Simu yangu haishiki 3G

Msaada: Simu yangu haishiki 3G

Kijana leo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
2,860
Reaction score
812
Habari, nina simu aina ya samsung galaxy, cha kushangaza simu hii inasoma 2g, japo application zote napata ila internet yake ipo slow balaa, je naweza kufanyaje ili iweze kuwa 3g au net iwe fast? na iendane na matumizi ya TZ, maana ilitengenezwa kwa matumizi ya nje ya nchi. nilienda sumsung shop lao 1 mkoani wakaniambia wao hawana mtaalamu mpaka dar ila humu ndio mpango mzima.
 
1. Samsung anatengeneza simu nyingi kwa series ya Galaxy, sasa sijui wewe mkuu unatumia Samsung Galaxy ....???

2. Je simu yako hiyo ilinunuliwa nchi gani?
In short kutengenezwa kwa matumizi ya nchi za nje haina maana kuwa haiwezi kutumika Tanzania isipokuwa kuna compliances fulani za IMT-2000 inabidi kufikiwa.

3. Kwa kawaida simu za Samsung Galaxy (Android), hufuata mtiririko huu unapotaka kuswitch kutoka network moja kwenda nyingine (2G, 3G, 4G n.k).
Kwa kuwa unataka kuifix simu yako kwa 3G tu basi fuata huu mlolongo.
1. Go to Settings.
2. Select "More Settings".
3. Select "Mobile Network".
4. Select "Network Mode".
5. Choose the "WCDMA only".​
 
asante hii simu ni s3, ilitengenezwa UK., nimefuata hizo taratibu mpaka pale kwenye mobile network, nimetafuta hyi ya WCDMA lkn sijaiona ndugu zaidi ya automatic na manual, msaada wako mpako hapo je?
 
Mi nilihangaika sana na line ya airtel nikawapigia wakaniambia kuna kundi fulani la line halishiki 3g mpaka leo kimya, natumia tigo now nimeizoea
 
Setting ndo zinachanganya wengi unaenda kwenye mobile network then kuna sehemu ya Apn unabonyeza inakuja sehemu inabidi uandke internet kwa herufi ndogo kama ni airtel unafata procedure zote then itakuja three g ndo network inakuwa normal
 
Wakala aliingiza akachemsha, nakula 3g ya tigo kwa raha zote, huku mikoani 3g hupatikani mara nyingu makao makuu ya mikoa
 
natumia mtandao wa tigo, yani napata shida kweli. hizo setting nimezifuata mpaka nimeflash simu ila bado.
 
asante hii simu ni s3, ilitengenezwa UK., nimefuata hizo taratibu mpaka pale kwenye mobile network, nimetafuta hyi ya WCDMA lkn sijaiona ndugu zaidi ya automatic na manual, msaada wako mpako hapo je?
Unaweza kutuma screen shot yake hapo unapokwamia?

jaribu kuweka line ya mitandao mingine uone inakuaje
 
Wakala aliingiza akachemsha, nakula 3g ya tigo kwa raha zote, huku mikoani 3g hupatikani mara nyingu makao makuu ya mikoa

Kama ni wa airtel wengi hawajui mi alinielekeza wa voda nikaunga airtel yangu ikakubali kabla ya hapo walinizingua nikaunga three g ikakubali ni rais
 
Back
Top Bottom