duh! umechek kama hiyo note 3 yako ni orginal?Mimi simu yangu samsung note 3 haisomi memory card inaandika inset card lakini mwanzoni ilikuwa inasoma sasa sijui tatizo ni nini
Hizi codes zinaweza kutumika kulingana na aina ya Simu au Mtandao?Nashukuru wadau nimefanikiwa pia kwa msaada wa code
#33*0000*16#
#35*0000*16#
Hiyo ni call barring, Hizo namba zinategemea na mtandao lakin simu yoyote inakubal.Hizi codes zinaweza kutumika kulingana na aina ya Simu au Mtandao?
Au zinaweza kutumika kwa simu zote na Mitandao yote?