wajf poleni na majukumu,naomba mnisaidie jamani nina simu yangu ya mchina aina ya Itel internet ipo fresh,file inaweza kudownload ila tatizo ikiisha maliza kudownload file halifunguki inaandika unsupported format,je nifanyeje ndugu zangu ili simu yng iweze kufungua file,naomba msaada wenu hapo.