AL-USTADH
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 406
- 226
Angalia imei namba yake then utume kwenye hii namba 15090
Nilituma mkuu wakasema ni bandia kweli ila nimeshaifanyia utundu imefunguka na inapiga kazi kama kawaida wakuu.
Cc. Kibajajitz
Angalia imei namba yake then utume kwenye hii namba 15090
Maujanja gani mkuu nishirikishe pmNilituma mkuu wakasema ni bandia kweli ila nimeshaifanyia utundu imefunguka na inapiga kazi kama kawaida wakuu.
Cc. Kibajajitz