Msaada: Simu ya sumsung inaji restart

Mr kilaja

Senior Member
Aug 21, 2016
110
64
Habari, nina simu ya sumsung hapa toka niupdate adroid 10 inajirestart bila sababu, je, tatizo ni nini na linatatuliwaje?
 
Hizi simu sijui vipi Mimi yangu ile sehemu ya kuwasha na kuzima imenigomea hakuna kuwasha wala kuzima, sasa imezima kuiwasha mtihani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom