Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,488
Ila hii Lumia 720 wanaisifia sana ktk chaji, kwani hii HTC kwenye chaji ipoje mkuu?
mkuu htc 8x ilitoka na lumia 920 pamoja kiwa na battery ya 2000mah na htc 1800mah. hizi ni simu zinazofanana processor 1.5ghz dualcore krait na ram 1gb.
nokia alipokuja kutoa lumia 720 alieka processor 1ghz dualcore krait na ram 512mb (ina maaana kapunguza specification) lakini akaacha battery ile ile. ndio maaana 720 inakaa sana na chaji.
jinsi processor inavyokuwa ndogo na ram ndo jinsi inavyotumia energy ndogo na ndo jinsi inavyokaa sana na chaji