Msaada simu ya KUNUNUA

Virus

Member
Feb 9, 2016
20
2
Nina 200$ je naweza kupata simu gani online, vigezo muhimu battery, camera, and am a gamer too! Isiwe window au iPhone, Android only
 
Kuna ZTE mpya kabisa ipo kwenye boksi lake imetoka Germany inakubali mtandao wa T mobile tu na hapo bongo hakuna huo mtandao so kama kama ukiipenda ni kwenda kuflash tu elfu 10 kariakoo,na mie naiuza laki mbili cash,pia kuna tecno C5 bei laki na hamsini ambayo ndio hii mimi nayotumia kama upo tayari tufanye biashara mkuu,
 
Matangazo mengi sana humu watu wanauza simu tafuta uzi zipo nyingi tu pesa ako
 
Mhh tecno sikushauri mkuu ongeza laki moja upate samsung toleo jipya samsung galaxy grand pro iko bomba vibaya mnoo android nougat na inawezekan kupat oreo android version inauzwa laki tatu na hamsini mpyaaaaaa au ukiona vipi tafuta hat j5 prime
 
Huo mshahara dogo
 
Online kufanya nini. Techno ndyo inaendana na pesa yako
Kuna mtu ameniambia nitafute a phone around 200$ online especially Amazon aninunulie, by the way mimi ni masikini sana hata tecno siwezi kuafford, thanx
 
Mhh tecno sikushauri mkuu ongeza laki moja upate samsung toleo jipya samsung galaxy grand pro iko bomba vibaya mnoo android nougat na inawezekan kupat oreo android version inauzwa laki tatu na hamsini mpyaaaaaa au ukiona vipi tafuta hat j5 prime
J5 prime bado anapelea mbali sana maana mpya kabisa akifurukuta inagot 430K
 
2055347260-1608105660.jpeg

Redmi Note 5 pro.
 
Kwani ndugu dola 200 ni sawa na sh ngapi, ama ww umeielewaje hiyo 200$
Haha anaibeza 200$ approximately ni 450k in pesa za madafu wakati unapata simu kali aisee za xiaomi redmi A1,Note 5 pro(snapdragon 625 mpka 630,camera dual ya nyuma,battery life a whole day with data on n.k) ambayo ina compete na samsung tena hizo j7 na j5 ni upuuzi asee kwa xiaomi labda anahisi ni laki mbili sijui.
 
Nina 200$ je naweza kupata simu gani online, vigezo muhimu battery, camera, and am a gamer too! Isiwe window au iPhone, Android only
Skuizi humu ndani kuna threads za kijinga sana wallah....
 
Back
Top Bottom