Msaada simu ya Huawei Gr5 2017 inanisumbua sana wakuu

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,303
2,000
habari wana Tech, mimi ninamiliki simu aina ya Huawei Gr5 2017 hii simu tatizo lake ni status bar uki pull down inakataa pia muda mwingine inajifungua mafaili yenyewe unaweza ukawa unatype messeji ghafla utashangaa status bar imejishusha yenyewe bila kushushwa au inajifungua kwenye setting yenyewe kiukweli inanimyima raha hatua nilizochukua nimerestore factory lakini wapi tatizo liko pale pale simu ilikuwa inahitaji kuapdetiwa nika iapdeti lakin pia tatizo bado liko pale pale ndio.

Maana nikaamua nililete humu kwa sababu naamini kuna wajuzi wa haya mambo inawezekana tatizo likawa dogo tu sasa kwakuwa mimi sijui ndio maana naona inanisumbua.

Tafadhali kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia juu ya hili tatizo naomba anipe mawazo yake.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
 
Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,629

Niuzie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom