Simu yangu ni Samsung S 8
Nilikuwa najaribu ku-update WhatsApp lakini nimeshindwa.
Nimejaribu ku uninstall ili niirudishe upya pia imeshindikana.
Kinachotkoea nikiingia kwenye google play naipata app ya WhatsApp lakini niki download ina load tu haiwezi download.
Naomba mnisaidie shida itakuwa nini?
View attachment 1706256