radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Feb 4, 2017 #1 Wakuu naombeni msaada simu yangu vitu vingi vimejaa ni samsung sasa nimeweka memory card kila nikitafuta sehemu ambayo nataka vitu ntakavyoweka au kudownload viende moja kwa moja kwenye memory sipaoni.
Wakuu naombeni msaada simu yangu vitu vingi vimejaa ni samsung sasa nimeweka memory card kila nikitafuta sehemu ambayo nataka vitu ntakavyoweka au kudownload viende moja kwa moja kwenye memory sipaoni.
nacktary Member Joined Mar 14, 2013 Posts 52 Reaction score 37 Feb 10, 2017 #2 Ukidownload vitu vinaenda kwenye main memory ya simu sio kwenye external memory. Kama una uwezo Ukidownload hakikisha unavihamisha kwenda kwenye extenal memory kuepuka kujaaa. Vitu kama picha za kamera unaweza elekeza ukipiga zikakae huko
Ukidownload vitu vinaenda kwenye main memory ya simu sio kwenye external memory. Kama una uwezo Ukidownload hakikisha unavihamisha kwenda kwenye extenal memory kuepuka kujaaa. Vitu kama picha za kamera unaweza elekeza ukipiga zikakae huko