Mwambie aiwashe kwa kubonyeza power botton na volume down. Itawaka vizuri na haitazima tenaKwema Wanandugu,
Kuna ndugu yangu ana simu yake Samsung toka jana asubuhi inawaka na kuzima tu. Yaani akiwasha inakaa sekunde kama 5 hivi inazima, na kujiwasha tena, kisha after 5sec itajizima tena. Hivyo hivyo mpaka inaisha chaja. Ni simu ambayo huwezi kutoa betri.
Simu hii anasema ina vitu vyake vingi sana vya muhimu ambavyo hataki vipotee kama ataiflash, hivyo anauliza kama kuna njia ingine ya kuitengeneza lakini ikaendelea kua na vitu vyake. Ukiiwasha unaweza kukaa nayo ukafanya chochote lakini after 5sec itazima.
Msaada wataalamu
ikikataa hapo aiflash tuAmefanya hivyo ikamletea menu, amechagua reboot system now.
Imewaka, but still imezima tena
Flash rom yake, huenda iyo ime corruptAmefanya hivyo ikamletea menu, amechagua reboot system now.
Imewaka, but still imezima tena
Hapa sina uhakika...ila media ztakuepo...Inawezekana kufanya backup ya SMS chat?
Ni Samsung Galaxy Tab
Download Samsung usb driver.Odin. Firmware Mengine njoo in box Nipe model nikupatie vyoteAhsante,
Unafanyeje ku flash Rom kwenye simu?