Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
sijaona anyware wanaongelea kuhusu unroot ya hii simu...wipe cache twone..ukizngua jarbu ku unroot then tafta root client nyngne kama frama root ,root genious ujaribu.
Universal Unroot ina cost 0.9$ lkn haiwezi ku unroot devices latest za samaung zenye KNOXkuunroot either tumia recovery ku-unroot au app ya kuunroot unaweza pata play store
sijaona anyware wanaongelea kuhusu unroot ya hii simu...
Nimefanya hiyo Wipe cache ila haijasaidia
Nimejaribu kurudia root procedure ila bado issue iko pale pale
Zaidi ule ujumbe wa super su kuchagua Normal recovery au CWM/TWRP Recovery ndo umejirudia tena
knox waranty void count: 0×0 [emoji22]
Nimetumia Triangle away lkn haijasaidia kaka.hiyo ni soft brick just reset flash counter kama vile triangle away
Basi flash new rom kabisa
Nafikiri hii ni Stock maana nimesoma nkaona hamna CWM/TWRP ya hii simuSwali: Unatumia custom recovery ipi? Stock au TWRP au ClockWorkMod. Ukijibu hayo nitaendelea.
Nime root kwa Odin mkuu kuna files mbili nimeziflash simu ikiwa katika Download modeKwahiyo ulitaka ku root bila kuchange recovery sio
Ngoja ni research hiyo ila mara ya mwisho nimesoma xda wanasema hamna custom recovery ya hii simukama unacustom recovery unaweza ku-unroot kuna package zipo
SM-G530Hnipe model yake
Basi flash new rom kabisa
nipe model yake