Jf kuna wajumbe jamaniMoja ya dalili za corona hizo... itenganishe na wenzie mapema
Kwa hiyo mkuu nikibadilisha battery tu inakaa Sawa bossHapo mchawi ni betry.
Yes mara nyingi betry ikianza kuisha nguvu inakuwa hivi,na ili kuipunguzia kazi kidogo iweke 3g kuliko 4g muda wote.Kwa hiyo mkuu nikibadilisha battery tu inakaa Sawa boss
Lakini battery haina hata mwezi mkuu vp Hapo ni mwezi huu tar 7Yes mara nyingi betry ikianza kuisha nguvu inakuwa hivi,na ili kuipunguzia kazi kidogo iweke 3g kuliko 4g muda wote.
Ni aina gani ya simu??Lakini battery haina hata mwezi mkuu vp Hapo ni mwezi huu tar 7
Weka kwenye frijiHabari wakuu,
Nina simu ya mtumba nilinunua kama wiki tatu Sasa ila ina mtindo wa kupata joto nikiwasha data kidogo au nikiunga Hotspot na pc au hata niwasha baadhi ya apps. Cha ajabu naweza play audio usiku kucha na isipate joto au naweza ongea na mtu Muda mrefu still isipate joto
Aina ya simu ni: Samsung galaxy note edge.nilinunua na betri Aina ya excellent
Msaada wenu wadau plz
Ni Samsung galaxy note edge mkuuNi aina gani ya simu??
Dah mkuu,hizi zote nadhani muda wake wa duniani ndio unafanya hata.[SUP]m[/SUP]
Ni Samsung galaxy note edge mkuu